FUATANA NASI UPATE KUJUA ALICHOSEMA 'POLE POLE' KUHUSU KUMPATA MGOMBEA WA CCM 2020
Baada ya taarifa zilizoenea zikidai kuwa Katiba ya CCM imebadilishwa hivyo kumruhusu mgombea wa kiti cha urais ndani ya CCM kupita bila kupingwa kwa muhula wa pili, jana March 26 2017 Katibu wa Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amelitolea ufafanuzi… Tazama hii video hapa chini.
kwa msaada wa Millard Ayo
No comments:
Post a Comment