"MESSAGE SENT" - JERRY ANENA NA ZITTO KABWE !!
SAKATA LA 'MCHANGA WA DHAHABU, JERRY ATUMA UJUMBE MZITO KWA ZITTO KABWE... FUATILIA BLOG YAKO YA MATUKIO..
WWW.TANZANIAMPYAMATUKIO.BLOGSPOT.COM -JERRY MURO!!
Sikiliza
Zitto Kabwe
Mungu
amewapa wenzetu “wazungu” baraka ya utajiri wa technology.Na pia ametupa sisi
watanzania baraka ya utajiri wa Udongo wenye thamani.
Ili
technology yao ifanye kazi inahitaji malighafi kutoka kwetu.
WAJE
WALETE TECHNOLOGY TUTAZUNGUMZA NAO.
Jerry C. Muro
Machame, Hai
Kilimanjaro.
26/03/2017
No comments:
Post a Comment