PATA KUJUA MACHACHE YA WAZIRI MWIGULU AKIFUNGUA MKUTANO WA 'POLISII'
VIDEO: Matatu aliyoyasema Waziri Nchemba kwa Jeshi la Polisi Nchini
March 27, 2017 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba alikuwa Dodoma kuzindua mkutano wa mwaka wa maafisa wakuu wa Jeshi la Polisi kwa mwaka 2017 ambapo katika hotuba yake Waziri Nchemba alizungumzia mkakati wa Serikali kutatua changamoto zinazowakabili Askari Polisi ikiwemo vitendea kazi.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…
V
No comments:
Post a Comment