Picha 13 za bondia Anthony Joshua alivyomsulubu Klitschko ndani ya Wimbledon.

TYSON MPYA??! Usiku wa jana bondia chipukizi Antony Joshua alishinda pambano lake la 19 uzito wa juu kwa KO dhidi ya Klitscko. Amepigana mapambano 19 na yote ameshinda kwa KO na hakuna mpinzani wake aliyefika raundi ya 12.














About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search