'msiba wa kitaifa' limeandika kwa wino mkolezo The Citizens; 'mama muhanga wa tukio nae afariki awafuata watoto wake watatu na mumewe..
Kuna taarifa kutoka chanzo cha habari cha kuaminika juu ya kufariki kwa mzazi ‘muhanga’ wa tukio la ajali ya wanafunzi Karatu. Taarifa inasema mama huyo alipoteza watoto wawili kwenye ajali hiyo na mtoto mmoja ambaye alikuwa kwenye uangalizi wake.
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba mume wa mama huyo nae alifariki katika tukio la ajali miezi michache iliyopita… tutaendelea kuwajuza, kaa nasi hapa hapa…..
Cha kusikitisha zaidi ni kwamba mume wa mama huyo nae alifariki katika tukio la ajali miezi michache iliyopita… tutaendelea kuwajuza, kaa nasi hapa hapa…..

No comments:
Post a Comment