Breaking News: Alichoandika Zitto Kabwe baada ya Taarifa mpya ya Mauaji Kibiti usiku wa Kuamkia Leo.. #share..
Kuna Taarifa mpya za mauaji maeneo ya Kibiti: Ameandika Zitto Kabwe, na kisha kaisihi serikali...
"Mauaji mengine Kibiti! Usiku wa kuamkia leo Afisa Mtendaji kijiji cha Mangwi Kata ya Mchukwi na Mwenyekiti wake wameuwawa kwa risasi na baadaye kuchoma moto nyumba.
"Naisihi Serikali itazame jambo hili la MKIRU ( Mkuranga, Kibiti na Rufiji) Kwa mtazamo mpana na wenye weledi. Tambo za IGP na Amiri Jeshi Mkuu zinaonekana ni maneno matupu. Wananchi wana haki ya kujua nini kinaendelea MKIRU..."
"Mauaji mengine Kibiti! Usiku wa kuamkia leo Afisa Mtendaji kijiji cha Mangwi Kata ya Mchukwi na Mwenyekiti wake wameuwawa kwa risasi na baadaye kuchoma moto nyumba.
Mauaji mengine Kibiti! Usiku wa kuamkia leo Afisa Mtendaji kijiji cha Mangwi Kata ya Mchukwi na Mwenyekiti wake... https://t.co/CHI5DZSKho— Zitto Kabwe Ruyagwa (@zittokabwe) June 28, 2017
No comments:
Post a Comment