Breaking News: Lowasa kaachiwa kwa dhamana, ni kuhusu 'Uchochezi'.. kituo cha Polisi nacho chatelekezwa kwa miaka 10.. #share.. na Kuihusu shepu ya Staa Wema Sepetu jee !!
Usipitwe na Habari kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Aliewahi kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, pamoja na Tweets hizi 8 zilizotrend sana mtandaoni leo hii 27/06/2017..
Wakili Kibatala asema Lowassa amehojiwa kuhusu kauli alizotoa Juni 23, katika futari ya Mbunge wa Ukonga na ametakiwa kuripoti tena Juni 29 pic.twitter.com/ReTjQvHvPY— AzamTV (@azamtvtz) June 27, 2017
Edward Ngoyai Lowassa amehojiwa kuhusu tuhuma za uchochezi na kisha kuachiliwa baada ya kujidhamini. Ametakiwa kurudi tena Alhamisi. pic.twitter.com/rFsOoBfgDI— Swahili Times (@swahilitimes) June 27, 2017
#Habari:Mhe. @Edwardlowassatz ameachiwa baada ya kujidhamini, Amehojiwa kwa tuhuma za kufanya uchochezi, Ametakiwa kurudi Alhamisi. pic.twitter.com/TshxfRaEPB— Radio One Stereo (@RadioOneStereo) June 27, 2017
Wema Sepetu atoa jibu juu ya shepu yakehttps://t.co/srXF8frgm9 pic.twitter.com/82CtC7QtnF— bongo5.com (@bongofive) June 27, 2017
Kituo cha polisi chatelekezwa miaka 10, wadau walia, RPC azungumzia ukata https://t.co/4sSEnhRL5R via @MwananchiNews— Mwananchi Newspapers (@MwananchiNews) June 27, 2017
Mpango wa BRN umehitimisha kazi zake kwa mujibu wa muda uliopangiwa.Rais Magufuli aagana na wafanyakazi wake. pic.twitter.com/Kgk64WcNNC— Msemaji wa Serikali (@TZ_MsemajiMkuu) June 27, 2017
KAMA ULIKOSA: Kama jana ulikosa show ya #EidKomediGala iliyokuwa imesheheni kila aina ya burudani, tupia jicho Azam TWO muda huu, inarudiwa pic.twitter.com/zt5hngptRx— AzamTV (@azamtvtz) June 27, 2017
Clearly lost in translation... would you translate this clip as above? pic.twitter.com/mVzzhk2W2l— Abdullah Mwinyi (@Dullahmwinyi1) June 27, 2017
Sema Naskia Wanasema Anaenuka Huwa Hajiskii... (Kwapa, Masinema, Masinema, Masinemaree) Husema Harufu Washaizoea Hudhani Inatoka Kwengine!— Salama Zalhata Jabir (@EceJay) June 27, 2017
Plane enroute from #Shanghai to #Guangzhou delayed on Tue after a passenger throwing coins into the plane's engine https://t.co/ykCQ4kgl5J pic.twitter.com/3VVJ3cJHXv— People's Daily,China (@PDChina) June 27, 2017
No comments:
Post a Comment