Magazetini Leo 28/06/2017: Masaa Manne ya Lowasa Mikononi mwa Polisi, Ulinzi wake 'HAPATOSHI' ,.. Bosi wa IPTL alivyodakwa VIP,.. #share.. Mabasi ya Mwendokasi ni 'kizungumkuti'

TUCTA yataka Waliotumbuliwa 'Vyeti Feki' walipwe.. BRN ndio basi tena,.. Vitambulisho vya Taifa kunasa Vyeti Feki Muhimbili,.. Umeme wa Uhakika wanukia,.. Na kwenye Sports.. Madega 'aapa' kutorudi nyuma uraisi TFF..













About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search