Tumepokea Taarifa ya Kusitishwa rasmi kwa iliyokuwa Ofisi ya Rais kitengo cha BRN na kuagwa wafanyakazi wake watakaohamishiwa Idara nyengine Serikalini.
Taarifa iliypatikana kutoka Ikulu hivi punde inatuelezea hayo..
About Author Matukio360
Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.
No comments:
Post a Comment