Picha 4: 'chum... mwaa..' la Prince Charles kwa Malkia lililovunja headlines na Social media !!

Baba wa Mrithi wa Ufalme wa Uingereza, Prince Charles ambae ndie mtoto mkubwa wa kiume wa Malkia Elizabeth, jana alionyesha upendo wake hadharani kwa kuwachum (rare kisses) wazazi wake wawili walipokutana kwenye hafla ya mazishi ya nyanya mdogo wa Prince Charles.


Katika hali isiyotegewa, mara baada ya kuwasili eneo la tukio alimfuata mama'ke huyo kumkumbatia na kisha kumchumu tukio lililomfanya abubujikwe na machozi ya furaha kabla kumgeukia baba yake ambae mda wote alibakiwa na mshangao asijue la kufanya.. huku magazeti na Social media zikibeba vichwa tofauti tofauti..

Kama kawaida jicho la matukio halikuishia hapo, tumekukusanyia picha 4 nawe zikufanye leo umpe mama zawadi wanayostahili..

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search