China yaipa Zanzibar bilioni 34.9 ...soma habari kamili na matukio 360...#share


Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Khalid Salum Mohammed kushoto akitiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar, Xie Xiao Wu kulia msaada wa fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.

 Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed kushoto wakibadilishana hati na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum Mohammed kushoto wakipea na Mikono na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu kulia baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt, Khalid Salum Mohammed kulia akizungumza machache baada ya kutiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed akisisitiza jambo alipozungumza machache baada ya kutiliana saini na Balozi mdogo wa China alioko Zanzibar Xie Xiao Wu Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar Dkt,Khalid Salum Mohammed wapili kulia akiwa katika picha ya pamoja na Balozi mdogo alioko Zanzibar Xie Xiao Wu baada ya kutiliana saini Msaada wa Fedha za Kitanzania  Shilingi  Bilioni 34.9 ambazo zitasaidia miradi mbalimbali ya Zanzibar hafla iliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Vuga mjini Zanzibar.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search