Magufuli apiga marufuku aina zote za michango shule msingi, sekondari ....soma habari kamili na matukio360..#share
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
amekutana na Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(Tamisemi), Selemani Jafo na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi ,Profesa Joyce Ndalichako
Ikulu jijini Dar es salaam. Rais amepiga
marufuku aina yoyote ya michango katika shule za serikali za msingi na
sekondari na amewaagiza mawaziri hao kusimamia hilo. Taarifa kamili
inakuja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
akifafanua jambo kwa msisitizo mara baada ya kukutana na Waziri Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani. Jafo (kushoto) na Waziri wa Elimu,
Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako (kulia) Ikulu
jijini Dar es salaam. Rais amepiga
marufuku aina yoyote ya michango katika shule za serikali za msingi na
sekondari na amewaagiza mawaziri hao kusimamia hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa
katika picha ya pamoja mara baada ya kukutana na Waziri Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) Selemani Jafo (kushoto) na Waziri wa Elimu,
Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa Joyce Ndalichako (kulia) Ikulu
jijini Dar es salaam. Rais amepiga marufuku aina yoyote ya michango katika
shule za serikali za msingi na sekondari na amewaagiza mawaziri hao kusimamia hilo.
No comments:
Post a Comment