Magufuli atoa pole kifo mke waziri Lugola...soma habari kamili na matukio360..#share
Rais John Magufuli akitia saini kitabu cha
maombolezo alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola
aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.
Rais John Magufuli akitoa mkono wa pole kwa wafiwa
alipofika Gerezani Railways Club jijini Dar es salaam.
January 2,
2018 kwenye msiba wa Marehemu Kamishna Msaidizi wa Polisi Mary Lugola
aliyekuwa mke wa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Kangi Lugola aliyefariki jana.
Rais John Magufuli akimfariji
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Kangi
Lugola kwenye msiba wa mkewe MarehemuKamishna Msaidizi wa Polisi
Mary Lugola Gerezani Railyways Club jijinio Dar es salaam.
Picha na Ikulu













No comments:
Post a Comment