Magufuli awajulia hali mapacha waliolazwa...soma habari kamili na matukio360...#share
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
RAIS John Magufuli amewajulia hali mapacha walioungana, Maria na Consolata Mwakikuti waliolazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) jijini Dar es Salaam.
Maria na Consolata ni wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika Chuo Kikuu cha Kanisa Katoliki Ruaha (RUCU).








No comments:
Post a Comment