Jinsi Kingunge Ngombale Mwiru alivyozikwa .....soma habari kamili na matukio360....#share

Na Abraham Ntambara, Dar es salaam
RAIS John Magufuli amewaongoza maelfu ya watu kuuzika mwili wa mwanasiasa mkongwe Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam

Rais Magufuli akiweka mchanga katika kaburi la marehemu Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TANZANIA,  Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki mazishi ya mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngombale Mwiru katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo Jumatatu tarehe 05 Februari, 2018.
Wengine na rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete, rais mstaafu wa awaamu ya tatu, Benjamin William Mkapa na rais mstaafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan Mwinyi wakiangalia jeneza lenye mwili wa marehemu Kingunge.

Picha mbalimbali za maziko ya Kingunge Ngombale Mwiru leo katika makaburi ya  Kinondoni









About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search