Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania Dkt.James Wakibara na Kaimu Mkurugezi wa Utalii na Huduma za Biashara watembelea ofisi za KDU-Bunda na Pori la akiba Kijereshi
Katika Ujumbe wake alipotembelea na kuongea na Watumishi wa KDU Kanda ya Serengeti, Dkt James Wakibara amewahimiza watumishi wote nchini juu "umuhimu na ulazima wa mabadiliko ya kiutendaji kutoka walipokuwa Idara ya Wanyamapori na sasa Mamlaka ya Wanyamapori nchini.
![]() | |
|
Pichani chini ni matukio mbalimbali yaliyojiri wakati Bw. Dkt.James Wakibara akiwa ziarani.
![]() |
| Dr James Wakibara akipokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli kutoka kwa kaimu Meneja wa Pori la Akiba Kijereji lililopo wilaya ya Busega Mkoa wa Simiyu" |
![]() |
| Mkurugenzi Mkuu wa TAWA akiongea na Watumishi wa KDU Kanda ya Serengeti |
![]() |
| Watumishi wa KDU Serengeti wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa TAWA |







No comments:
Post a Comment