BREAKING NEWS!! RAIS ATEUA WAJUMBE KAMATI PILI YA UCHUNGUZI SAKATA LA "MCHANGA WA MADINI"

Rais Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 10 ameteuwa Wajumbe Wa Kamati Ya Pili Itakayofanya Uchunguzi Wa Madini yaliyomo katika 'machanga wa madini' uliohifadhiwa kwenye makaontena ya sehemu mbali mbali nchini.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa mchana huu na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, Wajumbe wa Kamati hiyo wataapishwa kesho Jumanne tarehe 11/04/2017.




About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search