VIDEO: SIKILIZA 'MABISHANO MAKALI' YA KIGANGWALA NA MBUNGE GOODLUCK MILINGA WA ULANGA !!
Mapema Bunge leo Mhe. Goodluck Milinga wa Ulanga aliuliza swali katika Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto.. 'matukio' tumekuangazia majibu ya swali hilo ambalo lilizua mabishani huku Mhe. Kigangwala Naibu Waziri wa Wizara hiyo akikataa kuitwa 'waziri kijana'. Na ndipo Mhe. Ummy Mwalimu nae akalitolea ufafanuzi suala hilo.
Bofya kiunganishi hapa chini.. (source: Ayo Tv)
Bofya kiunganishi hapa chini.. (source: Ayo Tv)



No comments:
Post a Comment