Magazetini Leo 11/06/2017: Soma kuu zifuatazo.. Bajeti hii ni 'mwiba' kwa walalahoi,..limeandika The Citizen... #SHARE. Taifa Stars yaanza Safari ya Matumaini AFCON..

IGP Sirro: Kuna mambo haelezeki Mauaji ya Kibiti' 'Dude laja Ripoti ya Pili Mchanga wa Dhahabu ikisubiri kupakuliwa kesho.. macho, masikio ni kesho Ikulu kwa JPM, Maalim Seif alivaa Bunge  'kifungo' cha Halima Mdee na Ester Bulaya,.. UNICEF yaagiza wahasiriwa wa mimba za utotoni waendelee na masomo baada ya kujifungua..






















About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search