tREANDING sPORTS nEWS: Simbu ashika nafasi ya tatu mbio za dunia za IAAF zinazoendelea jijini London..#share
Mtanzania
Alphonce Felix Simbu amefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mbio za dunia za
IAAF zinazoendelea kufanyika nchini Uingereza katika jiji la London.
Simbu
ameshika nafasi hiyo nyuma ya Mkenya aliyeshika nafasi ya kwanza akifuatiwa na
Muethiopia aliyeshika nafasi ya tatu.
Akitumia
masaa 2 na dakika 10 Simbu aliweza kushika nafasi ya tatu baada ya kumpita
Mkenya mwingine aliyekuja kushika nafasi ya tano.
Nafasdi hiyo
Simbu ameipata kwa mara ya kwanza baada ya mwaka jana katika mbio ndefu za London
Marathon kushika nafasi ya tano.
No comments:
Post a Comment