KAMA ULIPITW NA HII YA WASAFI NA UZINDUZI WAO PALE ZAKHEEM MBAGALA
Leo April 16 wakali kutoka Bongoflevani wameizindua rasmi Wasafi.com kwenye tamasha lilofanyika  leo Mbagala Dar es salaam ambapo wasanii kutoka WCB, Harmonize na Rich Mavoko waliungana na Young Killer pamoja na Dullah Makabili kuifungua rasmi Wasafi.com kwa upande wa Dar es salaam.
Young Killer
Rich Mavoko

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search