KUWAVUA WAALIMU WAKUU VYEO KISA MWANAFUNZI KAFELI NI UDHALILISHAJI; HATUTAKUBALI - MSIKILIZE MBUNGE DOTO BITEKO ALIVYOFUNGUKA BUNGENI LEO!
Mbunge wa Bukombe Doto Biteko amesema haikubaliki hatua ya kuwavua madaraka wakuu wa shule kwa sababu ya kufeli kwa wanafunzi, amezitaja baadhi ya sababu zinazoweza kusababisha wanafunzi kufeli ambazo Serikali ikiziangalia zitasaidia kuboresha viwango vya elimu nchini.
Na: Ayo Tv



No comments:
Post a Comment