Magufuli azindua rasmi awamu ya pili ya programu ya kuendeleza sekta ya kilimo..soma habari kamili na matukio360...#share


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuzindua rasmi Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018. Anayemshikia kitabu hicho ya Programu ni Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassa Mwinyi nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Mizengo Pinda nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi  Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mhe. Mahamoud Hassan Mgimwa nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi  Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo wa Sekta ya Kilimo ambaye pia ni Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa (FAO)  Mhe. Fred Kafeero nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi  Kiongozi w Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania na Balozi wa Jamhuri ya Sahrawi nchini Mhe. Brahim Buseif nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi  Mwenyekiti wa Vyama vya Siasa Tanzania Mhe. John Shibuda   nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kuizindua katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakimwangalia Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Alli akionesha  ukumbini  nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Bashiru Alli akiondoka meza kuu baada ya kukabidhiwa nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018. 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mufti wa Tanzania Sheikh Aboubakary  Zubeiry Ally nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) Profesa Raphael Tihela Chibunda nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  
k19, k20 na k21: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia muda mfupi kabla hajazindua rasmi  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  


k22: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na viongozi mbalimbali baada ya kuzindua rasmi   Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  Picha na IKULU
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi Mwenyekiti wa Taasisi za Sekta Binafsi (TPSF) Dkt. Reginald mengi  nakala ya kitabu cha  Awamu ya Pili ya Programu ya Kuendeleza Kilimo (ASDP ll) baada ya kukabidhiwa  katika ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Julis Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 4, 2018.  





About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

1 comment

  1. Play Slots For Real Money - Mapyro
    Online Slots 삼척 출장안마 Casinos List with Highest-Risk 익산 출장마사지 Games. Win more when you play 안산 출장마사지 at an online 용인 출장마사지 casino! This site uses cookies 안성 출장샵 to improve your experience, and we can help

    ReplyDelete

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search