'NI MTIFUANO BUNGENI' - HALIMA MDEE V/S GOODLUCK MILINGA.. PIA FUATILIA YALIYOJIRI LEO WAKATI WA KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU

Hii ilitokea bungeni Dodoma wakati wakati wabunge wakichangia bajeti ya Wizara ya TAMISEMI ambapo Mbunge wa Ulanga Goodluck Mlinga aliposimama na kuwakosoa wapinzani baada ya kukosa nafasi ya uwakilishi wa wabunge wa Afrika mashariki, Mbunge wa Kawe Halima Mdee akalazimika kusimama kuomba mwongozo.
VIDEO: Kilichojiri kwenye Kipindi cha maswali na majibu Bungeni leo April 20 
Na: Ayo Tv

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search