STEVE NYERERE AFUNGUNGA KUHUSU MAANDAMANO YA WASANII- 'FILAMU ZA NJE HAZIKUANZA LEO WALA JANA.. MSIKILIZE...
kufuatia maandamano ya wasanii wa ambao waliandamana jana katika mitaa ya Kariakoo wakipinga uingizwaji wa filamu za nje na urudufishwaji wa filamu za ndani huku wakiwataka wamachinga wanaouza filamu hizo waache mara moja, msanii wa tasnia hiyo Steve Nyerere ameelezea msimamo wake kwa nini hakushiriki katika maandamano hayo na mambo mengine ya msingi.. fungua kiunganishi hapa chini kwa hisani ya Globa tv online:



No comments:
Post a Comment