WAZIRI UMMY MWALIMU AMEWEKA BAYANA MAAGIZO YA MHE. RAIS KUHUSU MADAKTARI WALIOOMBA KWENDA KUFANYA KAZI KENYA.


Rais wa Tanzania ameamua madaktari wote 258 waliokuwa tayari kwenda kufanya kazi nchini Kenya waajiriwe na Serikali ya Tanzania mara moja
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Dodoma, Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Ummy Mwalimu amesema Rais Magufuli amefikia uamuzi huo kutokana na utayari waliouonesha madaktari hao pamoja na wataalamu wengine 11 lakini kwa kuwa kuna pingamizi lililowekwa huko Kenya basi Serikali ya Tanzania itawaajiri wote.


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search