Documentary: 'Kibaya kwako kizuri kwa mwenzako...!!
Hebu angalia hii clip fupi uone Wananchi wa Gambia walivyotathmini miaka 22 ya Utawala wa Rais Yahya Jammeh.. ndio maana tukasema 'Kibaya Kwako Kizuri Kwa Mwenzako'...
Wakati wengine wanalia kwa 'utawala Mbovu na wa Kiimla,.. wengine wanasema 'Malaika ameondoka'
Wakati wengine wanalia kwa 'utawala Mbovu na wa Kiimla,.. wengine wanasema 'Malaika ameondoka'
No comments:
Post a Comment