KUTOKA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM: Zikufikie Salaam Za Mfungo wa Ramadhan Kutoka kwa Mhe. Rais JPM!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ametuma Salaam Maalum kwa Waumini wa Dini ya Kiislam Nchini wakati huu wakianza rasmi Ibada Muhimu ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
Katika sehemu ya Ujumbe wake Rais amewataka Waislamu kuliombea Taifa lidumu katika hali ya Amani, Upendo na Mshikamano.
Tumekuwekea sehemu ya ujumbe huu uliosainiwa na Mhe. Rais hapa chini.. bonyeza 'share' ili Watanzania wote waone Mapenzi haya makubwa kabisa ya Rais kwa Wananchi wake.

No comments:
Post a Comment