Picha 21: Kutoka Royal Family Jijini London, Malkia alivyakabidhi Medali kwa 'Mpanda Farasi' Bora 2017..

Katika tukio lililosisimua familia ya Kifalme Nchini Uingereza, Malkia Elizabeth hakutaka kupitwa na jambo licha ya kuuguliwa na mumewe ambae amelazwa Hospilini, alijitokeza kumvalisha medali ya Dhahabu mcheza farasi wa mwaka 2017 James Doyle, katika Sherehe iliyojaa kila aina ya mbwembwe! 

Matukio hatukupitwa na tukio hili la kusisimua. tumekusogezea picha 21 za tukio zima na wewe uweze kuosha macho!!


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search