U heard,.. Nimekuwekea list ya viwanja 10 vya Ndege ghali zaidi Barani Africa !

Ndugu msomaji wa Blog yetu ya Matukio, waswahili husema kashangae feri..  na kuna watu wanaoishi na wengine wanafananisha kuishi... kumbe uwanja wa ndege unaweza kuzidi hata thamani ya rasilimali za baadhi ya nchi nyengine !

Hebu ona hii, unaambiwa uwanja wa Ndege wa Oliver  Tambo International Airport wa huko Afrika ya Kusini, ujenzi wake umegharimu kiasi cha Dola za Kimarekani 1.5 BILLION. 

Ndugu msomaji kiasi hicho ni sawa na pesa ya Kitanzania, TRILIONI 3.36

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search