TANZIA NEWS!! Dr. Harrison Mwakyembe amefiwa na Mke wake Bi Linah Mwakyembe . #share

Tumepokea taarifa ya Msiba wa Mke wa Waziri wa Habari,  Utamaduni Sanaa na Michezo Dr Harison Mwakyembe aliefariki usiku wa kuamkia leo..
Bi Linah George Mwakyembe alikuwa amelazwa kitengo cha wagonjwa mahututi (ICU) hospitali ya Aga khan kwa muda mrefu...

Matukio360 tunaungana na Watanzania kumtakia pole Dr.  Mwakiembe na wafiwa wote..


About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search