Ofisi za IMMMA
Advocates za wanasheria Fatuma karume na Lawrence Masha zimewaka moto Alfajiri
ya Leo chanzo hakijajulikana.
UPDATES
Tumepata janga kubwa, ofisi yetu imepigwa bomu uharibifu mkubwa Polisi wapo
wengi nimefika hapa Upanga tangu saa 9, mtuombee - Fatma Karume.
chanzo: Jamii Forum
No comments:
Post a Comment