Breaking: Mwanahalisi ndio basi tena.. Serikali yalipiga 'pini' kwenda mitamboni kwa miezi 24.. soma matukio360 ikujuze.. #share

MWANAHALISI LAFUNGIWA: Serikali imelifungia gazeti la MWANAHALISI kwa miezi 24 kuanzia leo Septemba 19 kwa madai ya kukiuka maadili na sheria za taaluma ya uandishi wa habari na kuchapisha
Makala ya uchochezi ambapo walindika Magufuli anahitaji maombi ili aache matusi wamefungua kwa muda wa miezi 24.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search