Magazeti ya Leo 09/10/2017: Dkt. Kashilila amtetea JPM  kuhusu uteuzi wa mrithi wake,. IGP Sirro akwepa maswali kuhusu Tundu Lissu,.. Mawaziri kuanika mikakati yao leo,.. waliohama Chadema waapa kimng'oa Msigwa,.. Mzee Akilimali amkaribisha Manji Yanga,.. Kocha Malawi akunwa na Kichuya,.. Kimataifa: Trump 'agundua' dawa ya Korea Kaskazini,.. na Katika Udaku: Zari akubali yaishe.. 'namuachia Hamisa Mubeto aolewe...' #share






























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search