Magazeti ya Leo 10/09/2017: NIDA bado kwafukuta; mzabuni mpya wa Vitambulisho 'atafuna' Bilioni 280,.. Mawaziri wa JPM waanza na 'mikwala'.. HIACE yaua 12 Ziwa Victoria,.. OP ya 15 ya Lissu yazua hofu Chadema,.. DANGOTE alaumu sera za uwekezaji,.. MAALIM Seif ameshindwa 'kuwakuna' vijana,.. mijumba ya Lugumi yaendelea kudoda,.. Yanga yamaliza ukame wa magoli,.. Simba wakesha na mikakati mizito,.. Na Mtibwa 'yaponda' ukuta mpya Simba.. #share





























About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search