Magufuli atuma rambirambi vifo wanajeshi 14...soma habari kamili na matukio360...#share

Rais John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa Dk. Hussein Mwinyi, mkuu wa majeshi ya ulinzi Jen. Venance Mabeyo, maafisa na askari wote JWTZ, familia za marehemu na watanzania kufuatia kuuawa kwa askari 14 waliokuwa katika operesheni ya ulinzi wa amani katika jamuhuri ya kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Rais John Magufuli

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search