Leodger Tenga aula tena....soma habari kamili na matukio360....#shate

Na Mwandiehi Wetu, Dodoma

WAZIRI wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amemteua rais wa zamani wa shrikisho la mpira wa miguu nchini (TFF), Leodger Tenga kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) pamoja na wajumbe sita.

Mwenyekiti mpya wa BMT, Leodger Tenga

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search