Mwenyekiti TEF ajiuzulu...soma habari kamili na matukio360...#share
MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) Theophil Makunga amejiuzulu nafasi yake kuanzia Ijumaa Machi 16, 2018.
Aliekuwa Mwenyekiti wa TEF Theophil Makunga.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo kwa umma na Katibu wa TEF Neville Meena, Makunga amechukua hatua hiyo kwa kutumia uhuru wake binafsi kama mwanachama hai wa jukwaa hilo.
No comments:
Post a Comment