Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoikabili Tanzania Prisons...soma habari kamili na matukio360...#share
VINARA katika msimamo wa ligi kuu Tanzania Bara Vodacom Premire Ligi (VPL) timu ya Simba jioni hii itakuwa dimba la Taifa jijini Dar es Salaam ikimenyana na timu ya maafande wa Tanzania Prisons ya jijini Mbeya.
Simba iliyocheza michezo 23 inaongoza ligi ikiwa na pointi 55 huku ikifuatiwa na watani wake wa jadi watoto wa mitaa ya Twiga na Jangwani timu ya Yanga yenye pointi 47 ikiwa imecheza michezo 22.
Na hiki ni kikosi cha Simba kinachoikabili Prisons.
No comments:
Post a Comment