BAADA YA KAMATA KAMATA YA 'MAKONTENA', WACHIMBAJI WADOGO WAJA NA KILIO KWA MAGUFULI !
WACHIMBAJI wadogo wa madini hapa nchini, wamemwangukia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli kuwaruhusu kuendelea na shughuli yao ya kusafirisha mchanga wenye madini ya Copper kwenda nje ya nchi na kuzuia mchanga wenye dhahabu kwa sababu haufanani
FUATANA NASI KWENYE VIDEO HII KUPITIA WWW.TANZANIAMPYAMATUKIO.BLOGSPOT.COMSource: Global Online Tv.
No comments:
Post a Comment