DIAMOND AMJIBU SHABIKI WAKE MTANDAONI!
Ni Headlines za staa wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz ambae hakuweza kuficha hisia zake na kumjibu shabiki ambae alicomment kwenye ukurasa wake wa instagram na kuuliza kwanini hatoi sadaka.
Diamond Platnumz alimjibu na kuyaandika haya…>>>“Nimejenga nyumba 5 mwaka jana Iringa, Misikiti miwili na mmoja Morogoro na pia mwingine Mtwara na madrasa Tegeta na nyumba ya imamu mbali na sadaka unataka nitoe hela zote sadaka nami nisifurahishe nafsi yangu embu niombe radhi kwa hilo.” – Diamond

No comments:
Post a Comment