SAKAYA 'BOSI MPYA CUF', MAALIM YEYE CHINI YA UANGALIZI

Mfuatilie Prof. Limbumba akitoa tamko rasmi la kumuengua Maalim kwenye nafasi ya ukatibu mkuu wa chama cha CUF.


Baraza kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua, Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.





Source: JF

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search