"BUNGE LIVE" - FUATILIA YANAYOJIRI BUNGENI ASUBUHI HII
Kipindi cha maswali na majibu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinaendelea leo April 24, 2017 mjini Dodoma. Ni Kikao cha Kumi na Moja cha Mkutano wa Saba wa Bunge la Kumi na Moja.
No comments:
Post a Comment