Kampuni ya kutengeneza magari ya BMW ya huko Ujerumani imekuja kivingine kukabiliana na ushindani mkali katika soko la magari ya mashindano 'F1' kwa kuingiza i-Series sokoni. Magari haya yanasadikiwa ndio yatakayotumia technolojia ya kisasa zaidi (the most intelligent brain) kushinda magari ya wapinzani wake akina 'Ferari na Lamborghini' nimekuekea picha za muonekano tofauti tofauti... tupe maoni yako kuhusiana na muonekano huo...








About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search