MASHABIKI, WANACHAMA, VIONGOZI WA SIMBA KUANDAMANA MITAANI DAR

_FDA0288
5163cb1d-7c33-4161-9aaf-f20aa3f5953f-001
Simba imepeleka maombi kwa Kamanda wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Siro.
Simba kupitia Rais wake, Evans Aveva imeomba kuandamana ili kufikisha ujumbe kwa TFF ambayo wanaamini imekuwa haiwatendei haki.
Katika barua yake kwenda kwa Siro, Aveva amesisitiza maandamano hayo yatakuwa ya amani ili kufikisha ujumbe wao.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search