MBUNGE SHABIBY ASEMA TATIZO SIO VIROBA, TATIZO NI HATUA ZINZOFUATWA KUZUIA VIROBA..

Tunafahamu kwamba serikali imepiga marufuku utumiaji na biashara ya vinywaji aina ya viroba, Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby alisimama bungeni na kuishauri serikali namna bora ambayo ingetakiwa kutumia kuzuia usambazaji wa vinywaji hivyo ikiwa ni pamoja na kuzuia bidhaa kutozalishwa viwandani kwanza na sio kuwakamata wauzaji kama inavyofanya hivi sasa
Shabiby anasema uzuiaji uanzie viwandani; mtazame hapa anavyoweka msisitizo ….
Source: Ayo tv



No comments:
Post a Comment