MKE WA RAIS TRUMP KUZURU IRAQ 



Mkwe wa Donald Trump Bi Jared Kushner ambaye pia ni mshauri mkuu wa Ikulu ya Marekani, Jared Kushner, anafanya ziara rasmi nchini Iraq.
Afisa mmoja wa utawala wa Trump amethibitisha kuwa Kushner anasafiri na Jenerali Joseph Dunford, mwenyekiti wa wakuu wa majeshi ya Marekani.
Dhamira ya ziara hiyo haijabainishwa wazi.
Waziri mkuu wa Iraq Haider al-Abadi amekutana na rais Trump kwa mara ya kwanza tarehe 20 mwezi Machi.
bbc swahili.

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search