MUUNGWANA NI KITENDO: #HALIMA MDEE AJIRUDI AOMBA RADHI BUNGENI KWA #KUMTUSI #SPIKA
Mbunge wa Kawe Halima Mdee jana April 25, 2017 alisimama mbele ya bunge na kuomba msamaha ikiwa ni siku kadhaa tangu atuhumiwe kwa kosa la kumtukana spika wa Bunge Job Ndugai wakati mkutano wa bunge ukiendelea.
‘Naahidi kuanzia sasa nitakuwa nikitoa michango yangu kwa kutumia lugha za staha!‘
VIDEO: Maamuzi ya Mbunge Mchengerwa atakaposikia Rais Magufuli sio mzalendo



No comments:
Post a Comment