#VIROBA BADO JINAMIZI KUU.. MBUNGE AESHI HILALY ASEMA SERIKALI IWALIPE WAFANYABIASHARA!
Baada ya serikali kupiga marufuku unywaji na ufanyaji biashara ya vinjwaji aina ya viroba huku ikiweka sheria kwa wale watakaokiuka agizo hilo, Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly ameitaka serikali kuwalipa wafanyabiashara ambao tayari walikuwa wameagiza bidhaa hizo toka viwandani kabla ya agizo la serikali kutolewa.
VIDEO: Wizara ya muungano kutengewa zaidi ya Bilion 19 kama bajeti yake 2017/2018



No comments:
Post a Comment