VODACOM WAONGEZA MDA WA MANUNUZI YA HISA KUWAPA WANANCHI WENGI FURSA !!



Vodacom Tanzania PLC tumeongeza muda wa zoezi la kuuza hisa za awali.

“Kuongezeka kwa muda wa kununua hisa utawawezesha watanzania wengi na taasisi mbalimbali zilizoomba muda uongezwe kushiriki kikamilifu katika mchakato huu mpaka mnamo tarehe 11, Mwezi Mei, 2017.”

“Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa watanzania ambao wamekwishajitokeza kuwekeza kwa kununua hisa zetu na tunawakaribisha ambao bado hawajanunua waweze kuchangamkia fursa hii katika kipindi cha muda huu mfupi wa nyongeza.” Alisema Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC,Rosalynn Mworia  #VodacomIPO #WekezanaVoda

About Author Matukio360

Matukio360 ni sehemu pekee inayokuletea matukio ya moto moto kutoka pande zote za dunia katika wakati ule ule yalipotokea yaani mubashara. Habari ni za uhakika na zilizofanyiwa uchunguzi wa kina na kuandikwa kwa ueledi mkubwa na sio ukanjanja. Usibanduke katika ukurasa huu wa Matukio360, wajulishe na marafiki zako sasa wajipatie habari za uhakika.

No comments:

Post a Comment

Leo leo Plus

Start typing and press Enter to search